Recent Posts

DOKTA SIUMWI HUKO (UPDATE)

0
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimejikuta nawanyima Muendelezo wa Simulizi yetu ya DOKTA SIUMWI HUKO bila hata mimi kujua

Wakati najipanga kuwaandalia Simulizi mpya ndipo nikagundua kuwa Simulizi zipo kwenye chanzo tu ila hazijaruhusiwa kuja kwenye app yetu

Nimesikitika sana kwamba watu wangu tangu April 30, hamna Simulizi hata moja inayokuja wakati kwenye chanzo zipo tayari kabisa

Nimesharekebisha na namini zimekuja Simulizi kwa wingi hivyo naomba soma na usinichoke🙏🏽

Nimeweka sawa na kwa wale ambao ni watumiaji wa app hii tangu zamani niwaombe muweke sawa(UPDATE) app hii kwani nimefanya baadhi ya marekebisho kuweka mfumo rahisi katika kuburudika

Cha muhimu sasa gusa hapa UPDATE kisha Update kama utakuta inakulazimu kuupdate
Ukikuta inasema Open basi una toleo sahihi hauna haja ya kuupdate

==> UPDATE <==

NIWAOMBE RADHI NA NIWATAKE TUJIUNGE NA CHANNEL ZANGU KWA AJILI YA KUPEANA RIPOTI IKIWA KUTATOKEA TATIZO
WhatsApp=> CnZ Media Channel
Telegram=> CnZ Media Channel

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)