Recent Posts

UPDATE APP KUENDELEA KUPOKEA SIMULIZI NA MENGINE YOTE

0


Habari za wakati huu

KUNA MABADILIKO KIDOGO NDANI YA APP YETU NAOMBA NITOE UFAFANUZI KIDOGO


Kwakuwa tunazidi kuwa wengi katika application yetu niombe kuwajulisha nimefanya maboresho kiasi ili burudani zinoge zaidi

Kama ulikuwa unatumia App hii ukashangaa SIMULIZI au VIDEO za KUCHEKESHA na FILAMU/TAMTHILIA haziji tena mpya kama kawaida basi jua unatakiwa kuboresha application yetu

Nimefanya mabadiliko ambayo yamelazimu wewe mtumiaji kuboresha application yako yaani kui UPDATE ili kuendana na mabadiliko

Hata sasa kama unasoma ujumbe huu huku hauoni filam mpya kutokea kwa ile ya Muzimu wa Mama | Ep 03, unatakiwa uboresha(UPDATE) sasa hivi ili uone filamu mpya
Haya mabadiliko rasmi yatatokea ambapo kwa wenye toleo la zamani hamtaweza kuona tena vitu vipya hata Simulizi

Wewe ambaye umeinstall/update app hii kutokea April 27 hili halikuathili endelea kupata burudani kama kawaida

NASHUKURU SANA KWA SAPOTI YENU NA MSIACHE KUNIPA NGUVU KWA KUYAGUSA MATANGAZO ANGALAU MARA 2-3 KUNISAIDIA NIPATE NGUVU YA KUWASOGEZEA BURUDANI ZAIDI

JIUNGE NA CHANNEL ZANGU KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp=> CnZ Media Channel
Telegram=> CnZ Media Channel

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)